Tuesday, September 30, 2014

Microsoft yazindua Program mpya ya kujifunza somo la Hisabati Kwa kutumia Simu ya Mkononi






Mgeni rasmi katika hafla hiyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia,Mh.Jonh Mgodo akizungumza mapema leo mbele ya Wanahabari katika ukumbi wa COSTECH,Sayansi Kijitonyama,jijini Dar kuhusiana na uzinduzi wa Programu mpya ya kujifunza somo la hisabati kwa kutumia simu ya mikononi

Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia,Mh.Jonh Mgodo akizungumza mapema leo mbele ya Wanahabari kuhusiana na uzinduzi wa Programu mpya ya kujifunza somo la hisabati kwa kutumia simu za mikononi. 

.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi na Teknolojia,Mh.Jonh Mgodo (wa tatu shoto) akioneshwa na mmoja wa wataalamuwa programu hiyo mpya ya kujifunza somo la hisabati kwa kutumia simu ya mikononi,iliyozinduliwa leo inavyoweza kufanya kazi katika simu za mikononi.

Mmoja wa Wataalamu wa mradi huo wa Programu mpya ya kujifunza somo la hisabati kwa kutumia simu za mikononi,kutoka Nokia Mobile Mathematics,Bi.Riita Vanska akifafanua jambo kwa wanahabari na wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye hafla hiyo iliyofanyika leo katika ukumbi wa COSTECH,Sayansi Kijitonyama,jijini Dar.

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia  COSTECH,Dkt.Hassan Mshinda ambao pia ni sehemu ya mafanikio ya programu hiyo,akizungumza jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusiana na uzinduzi wa programu mpya ya kujifunza somo la hisabati kwa kutumia simu za mikononi. 
 

  Baadhi ya wageni waalikwa na wadau mbalimbali wakiwa kwenye hafla hiyo wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri ukumbini humo.

Microsoft Windows Phone 8.1 yatambulishwa Tanzania kupitia Lumia 930, Lumia 630 and Lumia 530

DSC_0014



KAMPUNI ya Microsoft leo imetambulisha aina tatu ya Lumia ambazo ni Lumia 530, Lumia 630 pamoja  na Lumia 930 huku zikiwa zimeunganishwa kabisa na mfumo mpya na wa kisasa wa kiteknolojia wa uendeshaji wa simu wa Windows Phone 8.1.
Mfumo huo mpya wa Windows Phone 8.1 unatoa mwanya zaidi kwa watumaiji wa simu hizo kuhakikisha kuwa wanajiunganisha na huduma mbalimbali za kisasa hasa katika lumia 530.
Pia kupitia mfumo huo wataalamu wa masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wanakuwa na mwanya mpana zaidi wa kuweza kujitengenezea bidhaa mbalimbali za kiteknolojia kupitia hiyo Window Phone 8.1.
Meneja wa bidhaa wa Microsoft, Kingori Gitahi alisema kuwa  kupitia bidhaa hizo mtumiaji anakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi kutumia huduma kama vile za mawasiliano ya moja kwa moja kwa njia ya Skype na zile za Microsoft Office.
Alisema kuwa watumiaji wa simu hizo wanakuwa na wakati mzuri zaidi katika kujipatia huduma za uhakika za mitandao ya kijamii kama vile  Instagram, WhatsApp, Viber na WeChat.
Aliongeza kuwa ina mfumo mzuri zaidi wa matumizi ya Kamera kwa kiwango kikubwa cha 5MP huku ikiwa ni rahisi kuunganishwa kwa matumizi ya huduma za laini mbili za simu.

DSC_0057-2
“Pia ina kadi yenye ukubwa wa 4GB ambayo inayoweza kuunganishwa na kuongeza uwezo wake wa kazi kupitia kadi ya hadi kiwango cha 128GB,” alisema Kingori.
Aliongeza kuwa ” pia kwa kupitia mfumo huo wa Microsoft pia mtumiaji anajipatia zaidi kiwango cha 15GB ambapo mtumiaji huyo atakuwa kwenye wakati mzuri wa kutumia huduma hizo akiunganishwa na computers, laptops na tablets”.
Aliongeza kuwa kupitia bidhaa ya Lumia 630 mteja anakuwa na uwezo wa kupata huduma za Nokia Mapambazo inamwezesha wapi anaelekea na wapi anatokea.
Alisema kuwa hali hiyo inasaidia kwa kiasi kikubwa mteja kufurahia huduma mbalimbali za Nokia Map huku akiwa na wakati mzuri wa kuweza kubabilisha rangi ya muonekano wa simu yake.
Alifafanua kuwa katika simu za Nokia 930 kuna huduma mbalimbali ikiwamo inayomwezesha mteja kujua ni kiwango cha matembezi aliyotembea, amepungua kilo ngapi ikiwa pamoja na kumwelezea umbali wa kiwango alichotembea.
Lumia 630 -3
Alisema kuwa ina kiwango kikubwa cha kurekodia Video huku ikiwa na uwezo mkubwa wa kuchuja sauti na kurekodi vizuri zaidi.
 Alisema ina wireless charge uwezo mkubwa wa picha kwa umakini kama camera ya kawaida ikiwa na kiwango cha 1080p Full HD huku ikiwa na betrii yeye uwezo mkubwa wa kuhifadhi umeme  kwa kiwango cha hali ya juu.
Aliongeza kuwa aina hizo zote za Nokia Lumia zina huduma ya bure ya hera Map ambapo mtumiaji anaweza kujua ni wapi alipo wapi aendako pia.
Alisema kuwa ni fursa nzuri kwa mtumiaji hasa mtalii kujua huduma aitakayo katika mahala alipo, huduma kama vile migahawa, benki na nyinginezo ambapo kupitia huduma ta Here Map mtumiaji anaweza kupata hadi namba za simu za watoa huduma husika inayotafutwa.
Alisema kuwa kwa sasa bidhaa hizo zinapatikana kwa bei tofauti ambapo lumia 530 ni Shilingi 240,000, Lumia 630  inauzwa shilingi 345,000 huku Lumia 930 ni shilingi 1,200,000.
Kuna kituo cha huduma ambacho kinajukumu la kutoa huduma kwa wateja wake huku kila bidhaa yake ikiwa ipo chini ya uangalizi kwa mwezi mmoja

Sunday, September 7, 2014

MR HAMISI KIGWANGWALA ATANGAZA NIA YA KUWANIA KITI CHA URAISI 2015


Mh Hamisi Kigwangwala pamoja na familia yake akiingia katika hotel ya Hyatt Regency Hotel leo asubuhi

 




Mh Dk. Hamisi Kigwangwala Akiongea  na wanahabari pamoja na mafuasi wake leo katika ukumbi wa hyatt regency ambapo ametangaza kuwania kiti cha Uraisi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 alisema "Sababu kuu ya kuwania kiti hicho ni kuleta mabadiliko ya Kiuchumi,Utawala, Jamii, vitu ambavyo kwa sasa havipo na kupelekea taifa kuwa katika hali mbaya ya kiuchumi ukilinganisha na maliasili ambazo zipo mchini vilevile aliongeza kwa kusema yeye binafsi endapo chama chake cha CCM kitampa ridhaa ya kuwania Uraisi kupitia chama hicho atahakikisha analitoa Taifa hapa lilipo katika hali mbaya ya umasikini na kuwa miongoni mwa nchi zilizotengamaa kiuchumi duniani,
Aliongeza kuwa anaomba chama chake chama Tawala kimpe ridhaa ya kuwania uraisi kupitia chama hicho kwani anaamini kuwa ndiye atakayekuwa raisi wa kwanza Tanzania kuiongoza Tanzania Tajiri, Kutokana na Mfumo thabit atakaoutumia katika kujenga uchuni wa nchi  na kutumia maliasili za nchi zilizopo kama vile Gesi na Madini akijibu moja ya maswali ya waandishi wa habari alipouulizwa kuhusu kutetea jimbo lake alisema `'endapo chama changu kitanipa ridhaa jimbo litakuwa wazi ila kama chama changu hakitanipa ridhaa ya kuwania Uraisi nitatetea jimbo langu kwa ngavu zangu zote"
Dk Hamisi Kigwangwala aliyezaliwa mnamo tarehe 7 mwezi wa 8 mwaka 1975 anakuwa kijana wa kwanza wa Kitanzania kutangaza nia yakuwania Uraisi hadharani bila wasiwasi wala kuogopa wanasiasa wakongwe na makundi ndani ya chama chake ambacho kinaonyesha dhahili kuwa na watu wengi wenye nia wa kuwania uraisi kwenye uchaguzi mkuu 2015




mh akisalimiana na wafuasi wake wakati akiwasili katika hotel ya hyatt regency mapema asubuhi ya leo





waandishi wa habari hawakua mbali kupata picha wakati Dk. Hamisi akiwasili ndani ya ukumbi wa mkutano. 



Imaamu Mwita Abukarim akifungua kwa dua kabla ya kikao kuaanza 


watoto wa Mh kutoka mbele ni Sheila kanabi kigwangwara na Hawa Siasa Kigwangwara  na bibi yao ambaye ni mama mzazi wa Dk. Hamisi Kigwangwala wakitambulishwa kwa waandishi wa habari wakati wa mkutano huo 

Friday, September 5, 2014

Tabasamupr Services

Media Services
We have extensive experience having worked in local, national & International media. We know what the media expect and how best to ensure they treat your news as you want it to be treated. Tabasamu’s press services cover a range of disciplines. We will help draft your press releases, case studies, speeches papers, newsletters and other documents. We will then execute distribution
to the relevant media liaising with journalists personally to “massage” interest in your news.
It’s also important to monitor media coverage to help you know what is being published, where and how. We ensure the right exposure, in the right media. In reaching the right people, we work personally with writers.
In an effort to keep you up to date with market activities, we will monitor your media coverage, promote positive coverage of your activities in the media as well as monitor and effectively act incase of any negative coverage. We will eventually compile your publicity and run it against advertising which can be a cost saving effort for your company. We will at the same time monitor the competition as we tirelessly work to keep you ahead of the pack.
Press Conferences and briefings are another essential press service, and Tabasamu Public Relations Consultants will set these up, advice on presentation, and if need be ‘nurse’ you through the event itself.

Events Management
Tabasamu Public Relations Consultants have wide experience as event organizers for events big and small as part of effective public relations campaign.
Our Consultants have vast experience in exhibition production, modular display system, shell scheme units and purpose built environments.Our Conferences, Seminars, road shows, presentations and press and product launches.
We can put together events such as cultural festivals, corporate hospitality occasions, film galas, promotions, and much more.
In addition we can co-ordinate domestic, national or international visits from the field of business or politics including venue identification, travel arrangements, as well as establishing full media coverage including business TV.

Marketing & Advertising
Effective marketing is essential to find your desire place in today’s market. It is complementary to public relations and integrates closely with it.
A properly planned and executed promotional campaign will often involve a number of communications disciplines-marketing, advertising, event co-ordination and media relations.

Tabasamu PR Consultancy
Our marketing services go from research through to sms messaging. We work with clients from the ground up-researching and exploring opportunities, developing strategies, designing visuals and then implementing them to raise the awareness and recognition level.

Strategic Networking
Tabasamu’s Public Relations Consultants are extremely experienced in strategic and tactical planning. They know the market, the environment, what works-and what doesn’t.
Sound and relevant strategy development depends on a foundation of accurate, timely information. Tabasamu Public Relations, through our activities ensure that the necessary information is located and passed on for confident decision making.
Our Consultants have extensive contacts across a wide business spectrum.Knowing how to expand a business into different areas is vital to growth and we have it.

Crisis Management
Crisis Management may be required at times. Handled correctly by experienced consultants, it can be extremely effective. Handled poorly, it can be disastrous and costly. Client integrity can be as dependent on keeping something out of the news as on trying to secure exposure.
Tabasamu Public Relations have a wealth of experience of controlling and turning around potentially damaging situations. We work closely with clients to try to ensure crisis management is never required. But if it is, we have the necessary expertise to respond effectively.

OTHER SERVICES
• Advertising Agencies
• Advertising Mat erial Distribu tion Services
• Customers Services
• Direct Marketing Services
• Display Advertising
• Event Planning & Related Services
• Media Buying Agencies
• Public Relation Agencies
• Reputation Management
• Sales Promotion & Specialized
• Talent Management (Agent & Managers for Artists, Athletes, Entertainments & other public figures).